ReviewedMisri ni nchi ya Afrika ya Kaskazini-Mashariki. Rasi ya Sinai ambayo ni sehemu ya Misri huhesabiwa kuwa sehemu ya bara la Asia.
Misri imepakana na Bahari ya Mediteraneo, Israel, Eneo la mamlaka ya Palestina, ghuba la Suez, ghuba la Aqaba, Bahari ya Shamu, Sudan na Libya.
Popular contentLast viewed:My listReview tools |