Pan-African Living Dictionary Online

clause

kinywa wazi
with open mouth
clause   

kinywa wazi

.
kumbwe na kinyweo
food and drink, maidenhair tree
飲食 饮食
clause   

kumbwe na kinyweo

.
habari yako?
how do you do?
clause   

habari yako?

.
Krismasi Njema
Merry Christmas
Krismas Njema
clause   

Krismasi Njema

.
kila kukicha
all the time
our economy now is getting worse all the time

uchumi wetu sasa unakuwa mbaya kila kukicha

clause   

kila kukicha

.
kazi bure
work for nothing
all our efforts together with the citizens and government will be work for nothing (speech by Richard Mganga, 7 February, 2006)

jitihada zetu zote pamoja na wananchi na serikali zitakuwa ni kazi bure (hotuba ya Richard Mganga, 7 Februari 2006)

clause   

kazi bure

.
heri za sikukuu ya kuzaliwa
happy birthday
awoda pa
heri za sikukuu ya kuzaliwa yako,heri za siku ya kuzaliwa,heri ya siku ya kuzaliwa yako,heri za sikukuu yako ya kuzaliwa,heri za siku yako ya kuzaliwa
clause   

heri za sikukuu ya kuzaliwa

.
kichwa chini miguu juu
upside down
clause   

kichwa chini miguu juu

.
kichwa chini miguu juu
topsy-turvy
clause   

kichwa chini miguu juu

.
kwa masharti ya
on condition of
they spoke with Majira on condition of anonymity

walizungumza na Majira kwa masharti ya kutotajwa majina (Majira 8 Okt 2004)

clause   

kwa masharti ya

.
Syndicate content

Syndicate

Syndicate content

Lookup a word

Popular content

My list

Review tools

2158.32